Home News FAQ Links Contact
   
 
  Hakuna Habari Kwa Sasa
 
 
     

Ni utaratibu wa Hifadhi ya Jamii ulioanzishwa na Sheria ya Mafao ya Hitimisho la Kazi kwa Watumishi wa Umma namba 2 ya 1999. ili kuibadili ile sheria ya Pensheni, Sura ya 371 ya mwaka 1954.

Wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma ni Wafanyakazi wa serikali walioajiriwa Tanzania na wafanyakazi walioajiriwa na Wakala Tendaji zilizoanzishwa chini ya sheria ya Bunge.

DIRA
Dira ya mfuko ni kuwa taasisi imara ya hifadhi ya jamii nchini katika nyanja ya rasilimali na huduma bora kwa wateja.

DHIMA
Kutoa huduma zenye ushindani katika sekta ya hifadhi ya jamii kwa haraka na kwa uhakika zaidi kwa kutumia teknolojia ya kisasa na watumishi wenye ari ya kazi.


         
             
Privacy Policy | Disclaimer | Sitemap
Copyright © 2003 - 2012 Public Service Pension Fund. All Rights Reserved                designed by:   PowerWeb