Viunganishi    
Untitled Document Registration Employers Contributors Expected Retirees
 

Namna ya kujisajili

Mwanachama anatakiwa kujaza fomu Na. 1 ya PSPF na kuambatisha vitu vifuatavyo:

  • Picha 2 za pasipoti (za rangi);
  • Nakala ya barua ya ajira ya kwanza;
  • Slipu ya mshahara (nakala halisi);
  • Cheti cha ndoa/Hati ya kubadili jina kama yametokea mabadiliko ya jina
    (ma-).


Mfano wa fomu ya Usajili (kuweza kufunguwa pata programu ya bure inaitwa Acrobat Reader hapa)

 

 



  © 2003 PSPF All rights reserved.